Kihongosi amesema changamoto kubwa inayowakabili wananchi wa Mkinga ni suala la upatikanaji wa maji, lakini Rais Dk Samia ...
DAR ES SALAAM: Kisukari cha mimba kinaweza kusababisha madhara makubwa kwa mama na mtoto iwapo hakitagundulika na kudhibitiwa ...
DAR ES SALAAM: Dk Norga Komba, Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini China, anasema kwa mtazamo wake, ...
Wizara ya Afya inasema Tanzania inatumia mfumo wa District Health Information Software 2 (DHIS2) kama sehemu ya miundombinu ...
MBEYA; Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, imeanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vikundi vilivyoshindwa kurejesha mikopo ...
KASULU: Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Luteni Kanali Joseph Murimi, amezindua magari mawili mapya ya Halmashauri ya ...
DAR ES SALAAM: Nyumba mpya imeanza kujengwa kwa ajili ya mama aliyekuwa akiishi katika mazingira magumu eneo lenye pori, ...
BUKOBA: Wataalamu na watafiti wa zao la migomba kutoka nchi tisa barani Afrika wamefanya ziara nchini Tanzania kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika utafiti na uzalishaji ...
MBEYA;  Mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya Chunya, unaojengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, umefikia asilimia 82 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Novemba 30 mwaka huu ...
DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu ...
Miongoni mwa washirika wakubwa ni Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), ambao kwa miaka mingi umechangia upatikanaji wa huduma za matibabu, kinga, huduma za maabara, ...
AFRIKA bado inaagiza dawa nyingi inazotumia kutoka nje ya bara, hali inayoziacha nchi kama Tanzania katika utegemezi wa minyororo ya kimataifa ya usambazaji, wakati serikali mbalimbali barani humo ...