AZMA ya Edwin Sifuna ya kuwania urais inaonekana kuingia katika kipindi chake kigumu zaidi. Kilichoanza kama harakati yenye ...
KUTAWAZWA kwa Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa msemaji wa Mlima Kenya kumeibua mgawanyiko katika Baraza la Wazee la Kiama Kia ...
SERIKALI imeunda kikosi cha asasi mbalimbali ili kuharakisha utekelezaji wa agizo la Mahakama Kuu linalohitaji kuwekwa kwa kanuni mpya za kusimamia maandamano ya umma na mienendo ya polisi. Kikosi ...
ZAIDI ya wanafunzi milioni 3.6 watafanya mitihani na tathmini za kitaifa mwaka huu huku serikali ikiweka masharti magumu ...
UCHAGUZI mdogo wa wadi ya Migwani, Kaunti ya Kitui, umegeuka kuwa uwanja mpya wa mapambano ya kisiasa kati ya kiongozi wa ...
MAADHIMISHO ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga yamegeuka kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa ...
NAIBU Rais Profesa Kithure Kindiki huenda asiwe mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027, Mbunge wa ...
KINARA wa chama cha The Equitable Party (TEP) Edwin Sifuna amedokeza kwa mara ya kwanza, kuhusu maono yake kwa Kenya akitaja ...
KAMPUNI inayojihusisha na ubunifu wa kidijitali, Wave 360 Africa, imetambuliwa na serikali kwa mchango wake katika kukuza sekta ya ubunifu nchini. Kampuni hiyo ilipokea utambuzi huo wakati wa ...
KAUNTI za Nairobi na Nakuru zinadaiwa Sh75.7 bilioni za mapato ambayo hayajalipwa, kiasi kinachozidi madeni yanayodaiwa na ...
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga, Jumamosi, alitawazwa kwa njia ya ishara na baadhi ya wazee wa jamii ya Waluo kuwa mrithi wa kisiasa wa babake marehemu Raila Odinga. Hafla ...
SIASA za vibaraka wanaodaiwa kupenyezwa na serikali zimezua hofu na kutoaminiana katika upinzani na kutishia umoja wao ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results